Quantcast
Channel: TZhiphop » Swahili
Browsing all 10 articles
Browse latest View live

JCB ndani ya FidStyle Friday

Baada ya Cliff Mitindo kuwakilisha Migo Migo, wiki iliyofuata ilikuwa ni ya mkongwe JCB. Wanaomfahamu vizuri JCB nadhani watashauri ujiandae kupokea hadithi za kitaa kama zilivyo. Kama Mejah wa Wachata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

S.U.A. kuandaa Tamasha la Hip Hop

Juhudi na harakati za mradi wa S.U.A. (Saving Underground Artists) unaoendelea Kijenge Juu Arusha zimeanza kuzaa matunda, hasa katika upande wa kuwafikia vijana wengi zaidi kulinganisha na hapo awali....

View Article


Exclusives Mix 10

Hii ni mix ya aina yake. Nakuonjesha mawe yaliyomo kwenye kazi za wasanii zilizoingia sokoni hivi karibuni. Kama ulikuwa bado hujazipata, basi bila shaka utajitahidi kuzitafuta baada ya kusikia sauti...

View Article

Kalapina ndani ya FidStyle Friday

Kikosi cha Mizinga ni mojawapo ya makundi muhimu mno ambayo yamekuwa yakiendelea kuwa na sauti muhimu kwenye medani ya Hip Hop Tanzania, huku wakiwa wameegemea zaidi kwenye kuwasilisha vilio vya watu...

View Article

Nikki Mbishi ndani ya FidStyle Friday

Hiki ni kipindi cha 30 tangu maneno “FidStyle Friday” yalipoanza kusambaa kwenye mtandao. Katika kusheherekea hatua hii muhimu, ni vyema kuangalia kilichokuwa kinajiri awali. Nikki Mbishi alikuwa ni...

View Article


Kichupa cha ‘In The Congo’

Ndugu Zavara, mmoja wa waanzilishi wa Bongo Hip Hop na waasisi wa kundi la Kwanza Unit, anagusia vita ya Kongo katika ‘In The Congo‘ kwa mtindo wa kipekee kwenye kichupa hiki adhimu. Pamoja na wimbo...

View Article

Watengwa 2 France, Musical Safari

Watengwa‘s highly anticipated album, Ni Full Ile Laana Vol. 2, is about to hit the stores (be on the look out for the exact date). The album was recorded, mixed and mastered in Paris, France, during...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uchambuzi: Fid Q – Siri Ya Mchezo [I]

Uhakiki na Jicho La Ra Siri ya Mchezo ni wimbo mwingine kutoka kwenye santuri mpya ya Fid Q inayoitwa Kitaalojia. Ukisikiliza vizuri, utunzi wa wimbo huu ni kama unataka kushabihiana na ule wa...

View Article


One on One: WAKAZI

Kwa Wakazi, EP ya Abacus ni muendelezo wa safari ya kuelekea kwenye santuri yake. Wakazi ameshaonyesha uwezo wake kama msanii kupitia kanda zake tatu za mseto za MYU na Utatu Mtakatifu. Utatu Mtakatifu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Harakati

Sehemu ya makala hii imetafsiriwa kutoka kwenye gazeti la NYTimes moja na mbili Rais wa Senegal Mh. Abdoulaye Wade aliwahi kutaka kubadilisha katiba ya nchi hiyo ili kufanikisha azma yake ya kugombea...

View Article
Browsing all 10 articles
Browse latest View live